Jamani halmashauri ya KILOSA(MORO)kunani?

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
826
Kuna ujumbe nimeupokea kwenye simu yangu Leo asubuhi nahisi jamaa aliyeituma huo ujumbe alikosea namba, badae nikajaribu kumpigia simu nimtaarifu akupokea

Ujumbe huko hivi
"HABARI ZA WAKATI HUU AFISA ELIMU?
KUNA HABARI NAHISIKIA INATREND KWENYE MITANDAO HASA WA WHATSAP, KUNA GRUP FULANI HAPA KILOSA HASA LA WALIMU WENGI WALIOAJIRIWA AJIRA MPYA MWAKA HUU, WAMEPANGA KUJA KUFANYA MAANDAMANO HAPO HALMASHAURI YA KILOSA KUDAI PESA ZAO ZA KUJIKIMU NA SITAHIKI ZAO ZINGINE
KUNA JAMBO LIMENISHANGAZA HAPA INA MAANA TANGIA HAWA WAAJIRI WAPYA WAANZE KURIPOTI MWEZI JULAI HADI LEO MWEZI NOVEMBER HAMJAWAPA PESA ZAO ZA KUJIKIMU?
KAMA HILI JAMBO LINA UKWELI NDANI YAKE, WEWE NDO UTAWAJIBIKA
HAIWEZEKANI WE HUPO TU NA HAKI ZA WATUMISHI WAKO UMEZIKANYAGA CHINI YA VIATU VYAKO"

Nimejaribu kuulizia Kuna jamaa yangu ameajiriwa huko KILOSA amesema hiyo HABARI ni ya kweli

"Kwa huu ujumbe hysee walimu wana kazi" chama cha walimu Tanzania chukueni hatua juu ya hii dhuluma inayoendelea huko halmashauri ya kilosa"
 
Hahaaaaa we we ni Mmoja Wa walimu wanaodai bhana, ila hapa umetafuta namna ya kufikisga ujumbe Kwa wahusika na usijulikane
 
kama wewe ni mwalimu basi kazi ipo ?

hivi kwa huo mwandiko , wanafunzi wanaelewa nini kutoka kwako ?
 
Hakuna mwalimu Tanzania hii mwenye ubavu wa kuandamana hata afanywe nini,walimu ni zaidi ya mazombi
 
kama wewe ni mwalimu basi kazi ipo ?

hivi kwa huo mwandiko , wanafunzi wanaelewa nini kutoka kwako ?
badala ya kusapoti walimu hao dhidi ya dhuluma hizo, we ndo kwanza unachunguza maandishi,
hata mabubu, viziwi na vipofu uwasiliana,,, na maandishi si lazima kikubwa cha kuzingatia "ujumbe umefika"


Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…