Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,633
- 6,229
Mtu kwao jamani. Haya mambo ya kujifanya wewe ni matawi ni ujinga fulani hivi.
Unaweza kukuta watu kibao walikuwa wakicheza Mdundiko, Mchiriku, Bogobogo, Hiari ya Moyo, Lizombe nk wakiwa watoto.
Leo hii wakirudi nyumbani kutoka majuu na "you know....." basi kwao wao hivyo vyote ni ushamba.
Watu wengi si ajabu hapo wanamuona ni yuleyule Robin wao wanayemfahamu akiwa mtoto mdogo kabla hajatua USA.
Kilanga, Beyonce alicheza Sindima pia pale Dar.
Nawasubiri watoto wa jirani yangu mmoja hapa Sikonge wakirudi kutoka Majuu nione kama watakula Nsansa kwa wali/Gongo.