edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
- Thread starter
-
- #21
Huyu yuko poa atakua ni fundi. Kapatia sio?@Chilubi yupo sahihi kabisa...fuatilia vitu alivyotaja
Sio kweli, Anti Blocking System ( ABS) ni kwa ajili ya kuepusha tairi isigome au kukaza na ikateleza unapokanyaga brekiInaweza kuwa sababu kwani kazi ya abs ni kuisaidia gari kupunguza mwendo ndio maana ukifika speed flani inajiactivate
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kuna cresta ya jamaa yangu ilikuwa inahama barabara kabisaCjajua ila ukiendesha speed 80 na kuendelea gari inaanza kukata viuno!
Hoi gari gx 100 Mark 2 ,Ninapopiga speed ya 65 kwenda juu,inayumba njian kama kuacha njia kama Alama ya S inachora .Shida ni nini msaada tafadhalkabla sijafika kwa dr.
Ni ball jointcheck wheel alligment checkbolt joint na muhimu stablizer kama klep imekatika au bush zake zimeisha ndio inayoyumbisha gari stablizer inaifanya gari kukaa au kutulia barabarani
Stering iko looseCjajua ila ukiendesha speed 80 na kuendelea gari inaanza kukata viuno!