Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

Pole sana Mkuu wangu! Naelewa Life la chuo linavyobana.
Kuna mzigo naufatilia,nikifanikiwa nakutumia hata buku ten!
 
subiri second batch utapata
 
Halafu pesa unasema elfu hamsini "tu" wakati unadai unashindia buku. Weka details zako zote za chuo zinazokutambulisha hapa na uthibitisho kuwa huna mkopo.
 
Unasoma chuo gani? Dah pole sana
Asante mkuu..?
Nmechaguliwa bachelor of science in nursing na alisema afya na tiba ndo kipaumbele nashangaa nmekosa na mimi
nmesoma shule za KATA tangu vidudu.
 
Pambana kijana, dah siku hzi maisha yamekuwa magumu sana,
Enzi hizo sisi tukipata boom tulikua tunaliita allowance ya bia

Full kushinda kwa baunsa na MUSO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…