Jamani embu nisaidieni wana JF

hello kam vipi mwache tu may be atazoea si unajua tena labda mumeo ukakasi umemzid
 
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangu nikishika ujauzito itakuwaje.

Kaisiki hivi hilo nalo tatizo? Unataka watu wakusaidie nini humu ndani? Maana ni tatizo dogo ati! Hivi ni kweli umeshindwa kumweleza mwenzi wako ukamsikia anasemaje? Mweleze tu unavyojisikia nadhani atakuelewa!
 
Duh,ila sasa hapo kweli huyu dada akiwa mjamzito na jamaa kashajizoesha hivyo si itakuwa ndo mwanzo wa kufanya hunting nje?
 
Jamani mimi sielewi nimpeje mwenza wangu alizike kwa kawaida kiafya mapenzi yafanywe mara ngapi kwa wik maana naskia kukinai mapema hapa nilipo nipo hoi najikanda maji moto kila siku ndo nafuu yangu,inanibidi nikitoka kwa ofic nipate kinywaji ndo nahimili mshindo wa ligi,nisaidieni jamani maana ndo mume wa kufa kuzikana ndo kwaanza tuna mwaka nikipumzika nableed tu nayo jamaa anaesabu siku ya tatu anasema haina tatizo nikimpa.wasiwasi wangu nikishika ujauzito itakuwaje.

Ana umri gani? Kati ya 25 -30? If yes, you will need to wait a bit until he can naturally slow down when he become over 30!
 
Nashindwa kuelewa inakuweje ujikande; Mama toa ushirikiano mfurahie mwenzio nakwambia hutafikia haja ya kujikanda! Kujikanda kunaonyesha kuwa zoezi zima halikupi feeling kabisaa kitu ambacho ni hatari ; Na kama jamaa anapewa ushirikiano akatoa uji mzito haki ya nani hawezi kurudia rudia kila siku! ki hivyo!
 
m/mke game weweeeeeeeeeeeeeeee.....fanya mazoezi na utaona utamu wake......mimi nilikuwa sipendi game ila wife ndio alinikazania tuwe tunamanga uroho urojo kila siku!!

unatakiwa uwe na ushirikiano nae....mwambie akuandae hata kwa fingering, kuzama uvinza etc....kama anaona kinyaa kwenda uvinza mwmbie atumie mafuta ya johson baby oil ya ngozi ni poa sana....akufanyie fingering tu...utasikia unakuja mpaka utamwambie mwenyeweeeeeeeeeeee 'chomeka' ki2 na box puah!!!

mapenzi matamu bwana asikwambie mtu...mm sikinai hata siku moja.....

yaani nafanya kila siku lakini naona kama vile ni kitu kipyaaaaaaaaaaaaa.......leo mm nashugurika kesho yeye basi raha teeeeeeeeeeeeeeeeeeele.....
 
Nashindwa kuelewa inakuweje ujikande; Mama toa ushirikiano mfurahie mwenzio nakwambia hutafikia haja ya kujikanda! Kujikanda kunaonyesha kuwa zoezi zima halikupi feeling kabisaa kitu ambacho ni hatari ; Na kama jamaa anapewa ushirikiano akatoa uji mzito haki ya nani hawezi kurudia rudia kila siku! ki hivyo!

eeh jamani mnamuonea huyu dada.. naona mme wake ndio wajiby wake kumpa feelings au labda hatumii au hajui seduction techniques.......

Anyways scientists says Sex is good for ur health so do not afraid to have enough sex... ( I dont know how much is enough though)
 
Hapana hatumuonei!

Hapa hajaweka wazi kama yeye naye anenjoy ama anakwenda tu ilimradi! Na yeye anatumia mbinu gani? Hajatueleza! kwani sex ni eneo pana na litumika kikamilifu huwezi kusikia haya mambo ya kujikanda; hapa napata picha kuwa linafanywa visivyo na wahusika!
 
Naungana na Noname kusema kuwa mnamuonea huyo dada, si kwa sababu tu ameolewa ndiyo afanywe kama punda jamani, tendo la ndoa lina raha yake ikiwa wote wawili mnalifurahia na kukubaliana. vinginevyo huyo dada anabakwa, mpaka kufikia hatua ya kukanda maji nanihii yake inamaana hakuna maandalizi katika tendo hilo. hayo ni mateso na si mapenzi.
 
Huyo mdada hana hisia za mapenzi kwa mumewe. Pia anatatizo ktk ubongo wake kwani naamini hajawahi hata mara moja hajawahi kufika kileleni na ndio sababu anaikanda amana. Namshauri awaone wataalam wa soikologia watamsaidia
 
Hapana hapa tatizo linawezekana lipo kwa jamaa hajui jinsi ya kumwandaa mpenzi wake, inaonekana yeye akifikika tu ni moja kwa moja ikulu,hapana binadamu tunatofauiana inawezekana mke wake yupo kwenye group ile ya kuandaliwa mda mrefu,so mama jitahidi kumwelimisha jamaa kama hujawa tayari mwambie akusubiri
 
Back
Top Bottom