Ndugu zangu habarini za asubuhi,
naomba msaada japo wa mawazo katika hili tatizo langu, cm yangu nokia C3 imekuwa ndio rafiki yangu kipenzi, imekuwa ikinisaidia sana ila furaha yangu imeisha baada ya kushindwa kudownload whatsapps, whatsapps iliisha muda wake kama kawaida ikabid nianze kudownload na hapo ndipo furaha yangu ilipoishia, inaniambia WAPP CONNECTION ENDED, nashindwa nifanyeje, nimeshajaribu kama mara 20 imegoma, nifanye nini waungwana?