Jamani CCM waongo....nyinyi sikieni tu

Jamani CCM waongo....nyinyi sikieni tu

- Sasa Bro hawa ni waongo na wanafiki kuliko huko Chadema? Are you serious au unafurahisha genge tu, sasa untaka tuanze kuweka uongo na unafiki wa huko Chadema hapa? Please!!

Es!
Muwaha wanaume hawaanzi maneno "sasa untaka tuanze kuweka uongo na unafiki wa huko Chadema hapa?" Wanaume wanaanika tu huo uongo kama alivyofanya mleta thread. Wewe anika tu kama upo.
 
Back
Top Bottom