Jamani Bima ya Afya vipi washatoa shotlist?

Jamani Bima ya Afya vipi washatoa shotlist?

kephawao

Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
8
Reaction score
1
nauliza kuhusu ile interview ambayo ilikua kama kongamano la wenye degree na wasio na kazi, lililofanyika tarehe 7 mwezi huu, pale kurasini. Hawa jamaa hawajaanza kuita?
 
watatoa wiki ijayo ili na wadogo zenu waliyofanya jana wawe included
 
Back
Top Bottom