Fursa ni nyingi kutoka ni rahisi.Bg up.Wlaya zote za mkoa wa Kagera zko blessed.Shahidi ni Kanali Massawe.We unadhani anaweza kutamani kurudi kishumudu?NO.C wengne tunajuta kuanzia maisha huku.karbu kwenye Matoke mkuu.
Ni pazuri sana na mji unaendelea kujengwa.Kimaisha ukiwa umbunifu utatoka sanaaaaa.Ni wewe tu.Nilikuwepo Dece 2012 watu wanaendela vizuri sana.Wewe nenda maisha popote