kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,077
- 15,372
Wap ulipigaa kuraa hawamu hii ya ctaa mkuu wngu,Rais wa Tanzania ,Waziri wa chakula,hizi bei za bidhaa hizi mnaziona ?Bei ya ngano mumeiona?Bei za nondo mumeziona ? Je kama mlipigiwa kura na watanzania mnaona haya maisha kwa raia wenu ni sawa ?Mnampango gani nahali ya mfumuko wa bei za bidhaa ambazo huku mtaani ni balaaaaaa.
Uzi ufungwe!Aloshiba hamjui mwenye njaa
Hawawezi kuongea kitu wao ndio wamiliki wa sheliRais wa Tanzania ,Waziri wa chakula,hizi bei za bidhaa hizi mnaziona ?Bei ya ngano mumeiona?Bei za nondo mumeziona ? Je kama mlipigiwa kura na watanzania mnaona haya maisha kwa raia wenu ni sawa ?Mnampango gani nahali ya mfumuko wa bei za bidhaa ambazo huku mtaani ni balaaaaaa.
Sheli=Total=Puma,Hawawezi kuongea kitu wao ndio wamiliki wa sheli
Wao ndio wamiliki wa baadhi ya viwanda
Wao ndio wamiliki wa baadhi mazao yanayolimwa kama kina msukuma hapo wanafurahi wanapiga hela maana kipindi kile walikuwa wanabanwa
Kkoo pale maduka yao yamejaa we unadhani wataongea nn.
Yaani hapo mwanasiasa anatakiwa akae mbali na biashara ila akiwa muhusika mkuu haya ndo madhara yake.
Lugha hukua kwa sasa pamoja na watu kuelezwa kuwa sheli ni kampuni la mafuta bado watu wameendelea kulitumia. Itabidi lifanywe kuwa jina rasmi.Sheli=Total=Puma,
Nilitaka kumaanisha kuanzia sasa unapaswa kujua neno sheli unalitumia visivyo,kiswahili fasaha ni kituo cha mafuta,sheli ni kampuni kubwa ya mafuta kama vile unavyoona Total ama puma.
Kwa faida ya wote mnaotumia hili hili jina vibaya,
Thnx
Kila mtu ukisema sheli anakuelewa una maana gani, nyongeza mkuu.Lugha hukua kwa sasa pamoja na watu kuelezwa kuwa sheli ni kampuni la mafuta bado watu wameendelea kulitumia. Itabidi lifanywe kuwa jina rasmi.
kampuni ya mafuta ni SHELL.Lugha hukua kwa sasa pamoja na watu kuelezwa kuwa sheli ni kampuni la mafuta bado watu wameendelea kulitumia. Itabidi lifanywe kuwa jina rasmi.
Unakuta mtu anakwambia njoo hapa Shell ya Oilcom teh na unaenda vile vile bila hata ya kumung'unya maneno.kampuni ya mafuta ni SHELL.