Niko hapa, babu mwepesi kunyang'anyika.... Ukuye uninyang'anye kabla hujawahiwa!Naona watu mmegaiana wababu humu ndan,ngoja nikajipange lzm nimpokonye kongosho mmoja,hawez kujilimbikizia mababu kiac hicho,ni ufisadi kbs ebo!
@ kongosho nimekumiss!
Afadhali asee manake bado kidogo ningejitoa jf... Karibu sana, umekumbuka kunibebea ile zawadi nilokuagiza?Nimerudi na Ungo Air jana toka kijijini kwetu.
Wala usishtuke dia...hizo ni codes zetu na Kongosho tu!!Umenishtua Rejao!
Nakusubiria leo jioni huku kwetu maguu pande!Nimekuja, tena na mtindi wa maana sasa hivi. Ushindwe mwenyewe.
Mie mkinipa ruhusa naanza kupiga vigele gele! Sina wivu!Nakusubiria leo jioni huku kwetu maguu pande!
Noana SL anaona wivu....
Sijapata mwenzio sijui hawa wazee hawanion!!!Cantalisia, ulikuwa hujapata babu cku zote hizo! mi nnae babu mchunguzi baba yako.
Heeee heeee!Niko hapa, babu mwepesi kunyang'anyika.... Ukuye uninyang'anye kabla hujawahiwa!
Sijapata mwenzio sijui hawa wazee hawanion!!!
Hongera zako bana pale umefika ila uwe na moyo wa chuma maana stori na matukio yake ni ya kufukuzia utukufu daile lol!!!
Wifi wewe tena? Hata usingesema lazima ningekutumia! Kakako mzima wa afya, anauliza vipi ile ratiba yako ya kututembelea this week end???
Hahhah hahaha,Wa chuma ukikutana na moto si utayeyuka? wangu wa upepo jangwani niko, baharini, na nchi kavu kwa majira yote.
Oh! Baby....Come This Way....!Heeee heeee!
Asavali kwa kuniona Babu,
Yani km ni ushindi huu ni wa 3-0 lol!
Bila kupoteza wakati,
ODM WILL YOU MARRY ME!
Hahahah hahaha,Oh! Baby....Come This Way....!
Lets Get Married Right Away...!
Oh! Baby....Come This Way....!
Lets Get Married Right Away...!
Hahahah hahaha,
Here aim SWTY Babu,
Hope hii haihitaji wapambe kbs!!!
Asante mpnz,nishanunua matarumbeta diaa,
Asante mpnz,
Jiandae kuserebuka kwa kwenda mbele!
Afu nimeku recharge mbona husemi kama umepata?...siku ingine nakuacha uishiwe mpaka ukose hela ya kuDIPU!siku hizi toka amewowa ukimwomba vocha hakupi sembuse nauli nitakuwa nadip kwa mawasiliano
Hahahaha hahaha,ngoja nikaongeze masaburi kwa mama mchina hapo mtaa wa mbele gauni langu likae vizuri