Jamani Asus zenfone5 TOOP mobile smartphone

wangewange

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
189
Reaction score
43
Jaman habar zenu wakuu...ndugu yenu hapa natumia asus toop lakin imeshapasuka display ...na nahtaji display mpya kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza kuipata hyo lcd display anisaidie kwakweli . Napatkana dar es salam.
 

Attachments

  • 20171201_030723.jpg
    46 KB · Views: 53
  • 20171201_030713.jpg
    46.5 KB · Views: 61
  • 20171201_030640.jpg
    52.9 KB · Views: 60
Tafuta kuna mtu humu anaitwa Mwl RCT akuagizie kutoka ng'ambo maana kwa bongo hizo kuzipata sizani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…