Jamana educational products

astranaut

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
1,276
Reaction score
1,024
wizara ya elimu taasisi yenu mliyoipa kazi ya kuchapa madaftari ya wanafunzi, yenye nembo kwenye kava la juu imeandikwa Champion na picha ya mchezaji Chriastian Ronaldo kuna sehemu imebolonga zaidi na tena inaweza ikawakisababishi cha watoto wetu/wadogo zetu kufeli mitihani yao ya shule na Taifa.

kwenye kasha la nyuma kumeandikwa baadhi ya kanuni za mahesabu na vizio kadhaa,mfano wa vizio vilivyopo ni vizio vya joto na kanuni za kubadili nyuzi joto kutoka centigradi kwenda farenhait, hiyo kanuni imekosewa sana tafadhali wizara ya elimu tunaomba mpitie upya hicho kitu au hiyo taasisi iliyokabidhiwa hiyo tenda ya watanzania ijisahihishe.

USEFUL CONSTANTS
Body temperature 36.90c(370c)/98.40F
Conversion :C (7-32)x5/9) F: 9/5cx32 .Hivyo kwa kutumia kanuni iliyowekwa hapo juu haitoi majibu sahihi na hata ukijaribu kufanyia hivyo vizio vya joto la mwili ambavyo wameviweka hapo juu haupati majibu sahihi,wizara ya elimu mko wapi wakati imeandikwa nunua bidhaa ya Tanzania jenga uchumi wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…