Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
Nmefkiria sana nmekosa jibu na namuonea sana huruma huyu jamaa..... Leo mida ya mchana nikawa nmetoka kazn nikapitia dukan kwa jamaa yang yeye anaasili ya kiarabu bas baada ya kununua mahtaji yang nikataka kuondoka lakn jamaa akaniomba nimsubir awahudumie wateja anashda anataka tuongee nikakubali kumsubir baadae akamwita msaidiz wake ili amshkie kwa mda biashara yake bas jamaa akaniita ndan tukakaa mara akaanza kuniambia anashda sana anataka nimsodom {nimgegede kwa nyuma} anasema hawez kusex na mwanamke bila kubustiwa kwanza yeye nyuma.....anasema akigegedwa yeye ndo mashne yake inakuwa na nguvu yakuweza kufanya na mke wake. Nilipgwa butwaa kwamda nikataka kutoka nduki lakn kwavile nilikuwa ndan ya uniform ikabid nitoke kistaarabu sijamjibu chochote zaid ya kusönoneka moyon. Nimejiuliza sana kuwa ni ushirikina au ni usenge wake tu? Hv nikwel mwanaume unashndwa kufanya tendo na mkewako mpaka na ww ufanywe kwanza? Hv hii hali inatokana na nn? Utajiitaje mwanaume wakat na ww unapumuliwa mgogoni? Nimemshushia thaman yote ya uanaume..... Nimeskitika sana sisi wanaume wapi tunaelekea??...