Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,428
- Thread starter
- #41
mwanangu hata mimi ilisha nitokea kipindi flan wakati naishi Geita(2006) alikuja jamaa mmoja age kama 38-40,ukimuona unampa heshima zote smart kuanzia mavazi hadi kuonge,alikuja kwenye ofisi yangu kama mteja nikamkaribisha vizuri tu nakutaka kumuhudumia,sikiu ya kwanza akanunua alichotaka baadae akaanzisha mazoea ya ghafla nikachukulia poa ilikuendeleza uteja,ikapita kama wiki hivi tukawa marafiki tu sikujua nia yake bwana ikafika kipindi akawa ana cross mpaka sehemu ambayo mteja hatakiwi kufika lakini kwasababu jamaa kashakuwa rafiki nikaona poa tu(hapo tayari kashaniongopea yeye ana deal na ununuaji dhahabu),siku ya siku ananambia eti ananipenda tena kwasauti ya mahaba dume zima linaongea kwakubana pua,aisee nilihisi kuchanganyikiwa ikabidi nimakatize nikamwambia tutaongea nikifunga ofisi jioni,kuanzia hapo nilihisi kama nimapepo hivi yalinitokea kwanza usiku wake niliota ndoto za ajabu sana yaani mwanaume mwenzangu anavuta korodani zangu..kuanzia hapo nilimpiga marufuku huyo jamaa kukanyaga ofisni kwangu na kuwa namazoea naye..Ndugu yangu sali wakati mwingine huwa ni roho wabaya wanakuandama,nikama mikosi au nuksi kwa mimi navyo ona
kikolo mbombo ngafu ikhisu kimalike. Huwez amin ukimuona n mtu na heshma zake