jaman udom vip???

jaman udom vip???

shakx

Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
5
Reaction score
0
kiukwel wanatuumza me sielew chochote mpka xaxa maana 2nd batch inazngua naomben mwenye uelewa anisaidie niki log in kwnye web yao wananiambia incorrect dah?
 
Yah!mm ni mkazi wa dom juzi nilienda administration block pale chuo wakanambia soon either ijumaa AMA juma3 watatoa kwani wao udom wasubir tcu ikamilishe selection hapo tarehe 23 then waweze kutoa majina yote kwa pa1 kwenye second batch wakasema cha muhimu wewe kama wewe Sasa ni kufuatili kwa waliopata forms kwa kozi uliyochaguliwa kujua gharama za direct cost,bima na UDOSO ilikujipanga kiuchumi kuliko kusubir batch kutoka halafu ndio umshtukize mzazi...So mcwe na hofu ni subira tuuu so soon watatoa #tusipanic
 
asante kwa ufafanuzi mkuu!
 
Asante ndugu, this information is really helpful.
 
tunashukuru sana mkuu coz tunasubiri sana....tunaomba uwe unatupia update basi kama mambo takiwa sawa au la
 
sasa wakuu inamaana nasi hy tarehe 31 tutaenda uko chuo???

{yah!inatakiwa na nac kuripoti hiyo day kwan 2nd batch ni lazima itoke kabla ya hiyo date kwaiyo sitatizo ILA tatizo ni kusubiria 2nd batch ndo uanze kujiandaa kifedha na ndio maana yule receptionist alinambia tuanze kupitia gharama zinazohitajika kwa kozi husika kwani kwa UDOM ni vigumu mno chuo kukutema wakat tcu imekuchagua pale ckama muhimbili wazee wa misifa
 
wakuu tarehe 26, ila amna kinacho endelea. msaada kwa wanao kaa karib na chuo. Nendeni mkaulizie utaratibu vipi maana siku zina songa uku site ya Dom haileti update ambayo tunaitaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom