jaman please help me:usipite bila msaada plz

jaman please help me:usipite bila msaada plz

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Asante kwa kunijali
Nina computer yngu ina window seven sasa naitaji iwe wifi nifaneje?nilijaribu guru nkashndwa kui download ilileta fail likakataa kufunguka,
Kama hapo haitowezekana nina simu nokia 5700
Niliweka joiku premium imekataa nki click start inanambia un able,nifaneje?
Lengo langu ni tablet yangu iwe na uwezo wa kupata ne0t coz ina suport wifi tu.ni ya Toshiba tab T100,naheshmu mawazo yako,karibuni jaman
Mungu awabariki sana.
 
Suala la kutumia Nokia 5700 hilo hotofanikiwa kwasababu Nokia 5700 haina Wi-Fi,
kwenye laptop tafuta Connectify its simple kutumia, tafuta humu thread imeandikea super speed 2MBps baada ya kucombine mitandao mitatu iliyo anzishwa na e2theminza amei-upload
 
mkuu windows 7 click kibutton cha network pale kwenye desktop upande wa kulia chini then kwa chini utaona open network and sharing centre.

Alternative nenda kwenye control panel hadi network and sharing centre.

Alternative search kwenye startup network and sharing centre.

Tumia njia yoyote uijuayo wewe hadi ufike hilo eneo la network and sharing centre then fata step hizi hapa.

1. Step ya kwanza click kwenye setup a new connection or network
medium_abfdfb415e2a56559df73bce741e0205.jpg

2. Ita pop up screen hapo utachagua set up adhoc (computer to computer network)
medium_72a6d9d8c979160228dc745db0439d10.jpg

3. Hapo utaipa jina mfano labda utaiita samrichi then utachagua security zipo 3 hapo kuna open, wep na wpa2. Open haina security wpa ni easy kuicrack so chagua wpa2

medium_13e7624ebf60d3131a31e150fba956e7.jpg

baada ya hapo usisahau kuclick save this network ili iwe hapo all time.

Then kumbuka kutengeneza wifi inabidi usiwe unareceive wifi maana adapter haiwezi tuma na kureceive same time. Na pia tablet yako lazima isuuport adhoc
 
Back
Top Bottom