Jaman nisaidien ndugu zanguuu

Mmh! Kama ni hivyo basi bora nikamtoe maana mimi sipo tayari kwenda jela

ni mwanafunz huyo si nitafungwa mie!

aisee, pole sana! majuto ni mjukuu..
Kama unataka kuua mama na mtoto basi kajaribu kuitoa hiyo mimba...Mkuu lazima uwajibike, maana haya ndo matokeo yake, huwezi kupanda tu usitegemee kuvuna.

Kwa sasa nafikiri ungejitambulisha vizuri kwa wanajamvi ili wakupe mawazo ya kuituliza hii issue, kuanzia kwa wazazi wenu hadi shule.. Na kama ni mwanafunzi wa shule ya msingi, inabidi ujiandae vilivyo..
Nakushauri sasa uutafute uso wa Mungu..ukatubu mbele zake, muombe akupe hekima na maarifa, then akuandae na majukumu ya ubaba.
 
Mmh! Kama ni hivyo basi bora nikamtoe maana mimi sipo tayari kwenda jela

ni mwanafunz huyo si nitafungwa mie!

Yaani kweli wewe Mpuuzi (sorry).Unaparamia mwanafunzi unampa mimba, unataka kuruka! Kisha unafikiria kufanya mauaji a.k.a abortion!

Unjithamini kweli wewe? Kwanini usifungwe tu kikaeleweka!
 
Kwa hali ya kawaida, siku ya 26 mwanamke hawezi pata mimba, unless itokee irregulatiry kwenye MC yake. Hata hivyo irregularity haiwezi kuja siu uliyofanya nae tu, coincidence gani hiyo kaka?

Any way, Mungu ndio mjuzi. Cha kufanya subiri mtoto azaliwe ukafaye DNA test. Next time zingatia sana ABC na ukishindwa tumia condom. Ukimwi unaua.
 
Eeh God forbid!
Urasa unahitaji maombi! Kwanza umezini kisha unataka kutoa mimba!

For once be a responsible person. Kubaliana na hiyo hali. Its time you face the music. Forget maswala ya kutoa mimba kwani ni uuaji pia hata huyo binti anaweza kufa.

Tubuni kwa mola kisha mwende kwa wazazi kuweka wazi hiyo mambo. Mtapata way foreward nzuri tu.
 
Yuko wapi aliyesema wanawake wasomi ni wauaji????

Siku ya 23 mimba haiitungwi! Labda kutokee mabadiliko! Ushauri wangu go for DNA test, kama ya kwako, tunza ndio tunda la ngono, so what were you thinking? Ulifikiri ni uji ule! Matangazo ya Salama hamyaonagi?
 
mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima wala fedheha yake haitafutika.

Susy, wewe ni mwanaume? Kama ni mwanamke basi you should be the last person to post such a posting, unless utanipa ufafanuzi wa hiki kinachonitatiza. Najua inatoka kwenye kitabu Mithali kwenye biblia, lakini sidhani tafsiri yake ni hiyo (I stand to be corrected). Susy na Wataalamu wengine niambieni, does it mean hapa kuwa "mtu" implies mwanaume tu? Au lesbian anachukua nafasi ya mwananume asie kuwa na akili pale anapomsaga mwenzie? Na yule partner kwenye uzinzi/usagaji yeye anaruhusiwa (kwa maana ya kuwa hata akifanya yeye hatakuwa mjinga)? Jee, aibu inakuwa ya mwanaume pekee (na mwanamke "anapeta tu")?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom