Jaman naomba mnisaidie kupata mashine ya kutengenezea chaki

Ben baba

Member
Dec 31, 2015
69
34
Wadau
Kwanza natanguliza shukrani nina shida na mashine au kiwanda kidogo cha chaki ni wapi naeza kupata wadau na bei yake ikoje?
 
Dah nime mpata anasema kuna aina 2 za mashine ni kulingana na raw material ila mashine zote kwa lisaa 1 inatoa chaki 400, bei za mashine ni 150,000 kwa 350,000 so waweza nichek kwa 0743497079 nikakupa contact zake pia kumbuka ya udalali ni 20,000 Tu, na Unaituma kabla ya kupewa namba.
ONYO: Kama Uniamini au unahisi mimi ni Tapeli Tafadhali naomba Usinipigie Simu
 
umetisha mkuu, watu na kazi zenu
 
Back
Top Bottom