Ndio,tena ni mtu mmoja,
Nilimuwashia moto akaamua anianzishie uzi kuwa nimemtongoza huko pm.
Nikamwambia aanike hizo pm nilizomtumia akapotea mazima hadi leo na uzi ukafutwa!
huyo jamaa id yake iliunganishwa alikuwa ni perry alitumia id nyingine
kumbe ni mtu mmoja? Mbona huyo grace alipenda sana kuongelea habari za mumewe?
Yupo hata kule chini kwa wakubwa.
Anaitwa advocate j!
Mmewaona wapi Grace alijaaliwa,Aminata mrembo na Regina ukweli?
so perry ndo senetor 001?
Kuna nyuzi za kitambo kidogo zina id ya senetor ila ukiqoute sasa ndo inatokea perry hata sikujua imekuaje!!
danganya toto kama alivyokuwa anafanya aminata mrembo!!
Ukifuatilia aina za thread za mwisho mwisho za aminata ndo alizokuja nazo grace.
Nakumbuka alikuwa mtu mwenye dharau sana lakin baada ya kuumbuliwa na makachero wa jf sijamuona tena. Hebu kama upo Mpigamsuli nyosha kidole namm nikuone hahahaaaaaaaaaaa! Jf kiboko
mkuu sijawajua hao guys vp unaweza kunitajia kwa pm?
Dah ntakuPM mkuu usernames za kike nyingi humu ni za ma gay
mama yangu!!... Ila nahisi kama boflo na shori hao ninawas was nao
Hahaha taratibu mkuu utafungwa...
Ukiwauliza why mnatumia female usernames jibu wanakwambia kuvutia wanaume
Mh..! Na iko verified kuwa wako hivyo.?
Mkuu we jizoeshe kuziendea PM za hao watu ukifika kule watakwambia wazi wao ni gays wanatafuta wenzi
Lahaulaaa lakwata..!
Mmoja alinitumia hadi picha
Mwacheni Profesa apumzike
Duh, ama kweli kila biashara ina mteja wake.