Jaman Masaada kwenye computer ya iBook(apple)

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
1,166
Reaction score
558
Habari wanajamvi!!!.
Nina computer yangu ya Apple aina ya iBook operating system yake imebroak na kwa bahati mbaya sina hata CD yake ya kufanyia installation,Tafadhari kwa Mwenye ujuzi na hili anisaidie namna gani naweza kusolve shida hii.
 
kama ibook nadhan hautakuwa unatumia intel based os kama vile x 10.5 and later. nina cd ya classic enviroment (i.e mac os9.1.3)na os x 10.1 nilizokuwa natumia kwenye ibook yangu. je upo wapi? na ulikuwa unatumia os version gan? kama ikishindikana kabisa tafadhari jaribu kudownload kweye torrent. maana huwa hakukosi vitu huko.
 
Duu sasa unaiutumiaje mbona haiendani na katiba mpya (just joking)



Ila mkuu vidude vya kale hivi nahisi kitakusumbua tu.
 

mkuu naishi kimara Dsm kama vp nipe namba yako nikutafute, plz niko na shida...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…