Ms. Kadadaa jumapili
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 102
- 48
Pole sana mdogo wangu! ningekushauri uje huku shamba tulime sema nachelea hutakubari kuvumilia. Ila shamba panalipa sana kuliko kuendelea kujipa matumaini kuwa huenda utapata ajira mwaka kesho kumbe ndo uajuza unakunyemelea hivyo!
Jaman kukosa kazi huku kunanichelewesha mambo mengi kama kuolewa, nyumba, gari na biashara hadi inaniopunguzia idadi ya watoto, heh.
Hatari kubwa sana, tokea 2011 niko mtaani.

taabu ya watoto wa startimes nyie kazi haisubiriwi inatafutwa, ulipelekwa shule kwenye gari yenye kiyoyozi unasubiri upewe ofisi yenyekiyoyozi utakula jeuri yako
Jaman kukosa kazi huku kunanichelewesha mambo mengi kama kuolewa, nyumba, gari na biashara hadi inaniopunguzia idadi ya watoto, heh.
Hatari kubwa sana, tokea 2011 niko mtaani.
Kama umepitia maisha ya chuo ni tatizo.Kipindi ambacho uko final year uliremba sana.Ndo kilikua kipindi muafaka cha wewe kujenga mahusiano na mume wako wa le😵na sasa ume burgy unahangaika.
Ni mtazamo tu lakini.