[h=2]jaman jaribun hapa kuna hela za bureeeeee[/h]Kwa akili ya Nursery school unategema nini hapo,si kila mtanzania angekuwa tajiri.
Hivi mnafikira deal za maana zinawekwa wazi hivii has kwa wabongo sie.kwanza angeanza familia yake then ndio akaleta humu.
Na hata kama aangefanikiwa basi asingeweka hapa.
Nyie madalali mnakuja kwa style nyingi.
We umaona wapi watu hawana addresses,na wamesajiliwa wapi?