jaman hii ni technologia au freemason?

wakuu mwenye hizo game kwenye whatsup naombeni atume 0767476295
 
Nilitaka nimjibu hivyo hivyo, an old trick!
ndio nashangaa bado wanhangaika eti wengine wanawza sijui freemason mara illusion wabongo bana hatupendi kuumiza vichwa ngoja nitakuja kuupost huo mchezo hapa ngoja niutengeneze ili watu welewe nikishindwa basi nitapost katika mfumo wa ppt au video ya kawaida
 
hiyo si ile trick ya coperfield... wanachofanya wanabadili karata zote kwa mpigo.... ila wanabadili rangi tu
 
Mdau I have this video clip ya ilo game la karata ilinichukua masaa kadhaa kudugua hiyo trick nilicheka sana there is no such things as magic it is just a mind trick umeongea vizuri sana
 
Hizi ni magic tricks tu hata youtube ukienda watakuonyesha hua wanafanya vipi...
 
hahaha dah ..
well sio game..ni clip yakurekodiwa kwanza...so ipo vile vile haiwez kubadilika ata useme ucheze mara 6
pilikama ukifwatilia zile namba unazofwatilia mara ya kwanza ni tofauti kabisa na majibu so yanakufanya uwaone wachawi..
ila ni namba zenye symbol ile ile,,i.e kopa jembe n.k
 
Du mimi ndo kwanza nausikia huo mchezo wa karata but siamini kama inaweza kutambua karata niliyo iona
 

Aiseee hongera mkuuu,umetoa somo kwa lugha rahisivna umeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…