jaman doz iendelee? msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jaman doz iendelee? msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by Van l, Jun 16, 2012.

 1. V

  Van l Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina mdogo wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na tatizo vaginal infection jana alienda hospital na akapewa vdonge vya kuingiza sehem za sir kwa 6 days,tatizo n kwmba leo ameingia period ameniuliza aendelee na doz au akatishe doz mpaka period iishe coz anaofia dawa inaweza isifanye kazi
   
 2. P

  Paul mathew JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  LO! Hapa kuna kazi kweli, uwe mkweli hapa inaonyesha ni wewe! Acha kwanza period iishe, ukiendelea haitafanya kazi.
   
 3. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,090
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Tatizo humu kila mtu ni Daktari,sasa sijui ushauri utauelewa au vipi?
   
 4. Ndukulusudikucho

  Ndukulusudikucho Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jxt wait chalii hadi iishe,au muulize doctor alekupa dawa #jxt advisin
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mwambie arud kwa dr.ndo anaejua tatzo lake kwa undan.
   
 6. mfirigisi

  mfirigisi Senior Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Clotrimazole pessaries/vaginal cream insert 1 tablet or apply at night for 6 days, kutokana na uelewa wangu hutumika hata kama mwanamke yuko period ila hairuhusiwi kwa mjamzito,au kama inakuletea mazara unatakiwa kuripoti kwa Dactari wako
   
Loading...