Habari wanajamvi?
Niliangalia show ya Jide kwakweli kwanza nimpongeze saaana saaana maana amethubutu na ameweza na bila shaka naona jinsi Watanzania wanavoanza kukubali kazi za wasanii wetu wa ndani (ingawa sijaenda nkachangia ila nimechangia usingizi wangu kwa kuangalia mpaka saa saba).
Nauliza tu,Kwanini wanawake walikua wengi "sana" and very supportive kuliko WANAUME (wa dar?)
Athanteni