Jamaicans battle over alleged drug lord

Jamaican PM Golding vows to restore order to Kingston



_47915225_kingston466x300.gif


Jamaican Prime Minister Bruce Golding has vowed to restore order after at least 31 deaths during an anti-drug offensive in Kingston. He said he regretted the loss of life as security forces battled fighters loyal to a suspected drug trafficker sought by the US.

Mr Golding said police would continue searching for illegal guns and crime suspects.

The whereabouts of alleged drug lord Christopher "Dudus" Coke are unknown. He has thousands of loyal followers who have promised to protect him at any cost. Police say they have detained more than 200 people and seized arms and ammunition.

New gun battles raged on Tuesday as police and soldiers searched Kingston's Tivoli Gardens district for Mr Coke. The fighting has intermittently blocked the road to Kingston's airport and forced some flights to be cancelled.

Western countries such as the US and Britain have warned their citizens against travel to Kingston and its surrounding area in the current circumstances.

'Lorries piled with bodies'


ra3836927221.jpg

Prime Minister Golding, who approved Mr Coke's extradition to the US last week after a delay of nine months, reported to parliament on the crisis.

"The government deeply regrets the loss of lives of members of the security forces, and those of innocent law-abiding citizens who were caught in the cross fire," he said.

Estimates of the death toll vary from 31 to 60 but almost all of the victims are said to be civilians.
Police Director of Communications Karl Angell told Reuters news agency that 26 civilians had been killed and 25 injured in Tivoli Gardens.

Two other civilians were shot dead by suspected supporters of Mr Coke in Spanish Town, an area 14 miles (22km) west of Kingston, officials said.

At least three members of the security forces have also been killed in the violence which began on Sunday.
Hospital sources told AFP news agency that more than 60 bodies had been unloaded on Tuesday at a morgue in one of the Jamaican capital's main hospitals.

AFP's correspondent was first told of two lorries which had delivered "about 50 bodies" to Kingston Public Hospital, then witnessed a third lorry "piled with corpses riddled with bullet wounds, including a baby".
A nurse counted 12 bodies on the third lorry, the correspondent said.

'Big on human rights'

A state of emergency has been in place in parts of Kingston since Friday, when several police stations were attacked.

BBC News - Jamaican PM Golding vows to restore order to Kingston
 
Hata mimi nimecheka sana. Nataka kusikia wao wanalitamkaje...Lol


Huyu jamaa aliamua kula Vijisenti vyake na watu wake sasa wameamua kufa kwa ajili yake. Hata wakimpata sijui kama watampata akiwa hai.
 
Watu 60 Wafariki Kwasababu ya Mtu Mmoja
4533694.jpg

Polisi wenye silaha wakilinda baadhi ya maeneo ya mji mkuu wa nchi hiyo Wednesday, May 26, 2010 2:42 AM
Watu 60 wameishafariki nchini Jamaica hadi sasa kufuatia vurugu zilizozuka wakati polisi wa Jamaica walipoanzisha msako wa nyumba kwa nyumba ili kumkamata kiongozi wa kundi la wauzaji wa madawa ya kulevya wa Jamaica ambaye Wamarekani wanataka akamatwe apelekwe nchini Marekani kushtakiwa. Mamia ya wanajeshi na polisi walivamia magheto ambayo kiongozi wa kundi la wauza madawa ya kulevya wa Jamaica, Christopher Coke au maarufu kama "Dudus" anaaminika kuwa amejificha katika jiji la Kingston.

Vurugu kubwa zilizuka baada ya wananchi wanaomtetea Dudus kuamua kuwashambulia polisi kupinga kukamatwa kwake.

Dudus anatakiwa nchini Marekani kutokana na kujihusisha kwake na biashara za madawa ya kulevya na silaha.

Dudus mwenye umri wa miaka 41 ana wafuasi wengi toka kwenye makazi ya watu maskini wa mjini Kingston ambao wamesema wako tayari kumlinda Dudus kwa gharama yoyote ile.

Dudus ambaye wafuasi wake wanapenda kumwita "rais" hapendi kuvaa nguo za gharama na huwa haonyeshi ufahari anapokuwa kwenye klabu za starehe kama ambavyo mabosi wengine wa makundi ya uuzaji wa madawa ya kulevya hupenda kujionyesha.

Vurugu hizo zimeingia siku ya tatu mfululizo ambapo Dudus hadi sasa hajakamatwa lakini jumla ya watu 60 wameishapoteza maisha yao.

Wafuasi wa Dudus wamekuwa wakirushiana risasi na wanajeshi na polisi kupinga kukamatwa kwake.

Kutokana na vurugu hizo kusambaa maeneo mengi ya mji wa Kingston, shule na biashara nyingi mjini humo zimefungwa.

Mpambano mkubwa wa polisi na wafuasi wa Dudus unaendelea kwenye magheto ya Trenchtown ambako nyota wa muziki wa reggae Bob Marley ndiko alikokulia.

Chini ni VIDEO ya vurugu hizo za nchini Jamaica.


VIDEO - Watu 60 Wafariki Kwasababu ya Mtu Mmoja

Kuiangalia Video bonyeza hapa NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.





 
Polisi watamsaka mpaka watachoka. i=Inawezakana jamaa yuko nyumbani kwa Prime Minister. They are friends!!!!
 
Nilichofurahia ni hiyo offence ya raia; wachilia jamaa ni criminal or what but in standing for what they believe!
 
Back
Top Bottom