KivipSahara magharibi imeshadidimizwa na US.
Nchi ya wavuta bangi na wala coccaineJamaica ndiyo mdudu gani huyu?
Halafu ndo inaitangazia Dunia uhuru wa nchi waparestine?? Iaminiwe na nchi gani kwa mfanoNchi ya wavuta bangi na wala coccaine
Na ni nchi ya Wanaume wasuka RastaNchi ya wavuta bangi na wala coccaine
Marekani ndiyo sababu kubwa ya migongano dunianiili kupata kuungwa mkomo Israel na Morrocco,Marekali iliitambua Sahara magharibi kama jimbo la Morocco
Akili zingine 💩Jamaica inaishi Kwa kutegemea misaada ya Marekani wajiandae kukiona Cha kuni
Bangi imekoleaKatika utambuzi wake huo Jamaica imesema imefanya hivyo kwa kutekeleza maazimio ya umoja wa mataifa na kanuni za usawa na kuheshimiana.
Kilichoisukuma kufanya hivyo ni vita vinavyoendelea Gaza na dhulma wanazofanyiwa wapalestina.
Ni nchi gani zitafuata kufanya maamuzi ya hekima kama ya Jamaica.?