Jamaica raggae songs

Jamaica raggae songs

Victor Nicho

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
29
Reaction score
1
Kuna nyimbo moja hiv naitafuta japo sifahamu jina na walioimba lakin nakumba baadhi ya maneno kama vile WHEN I CRYING AND SMILE hiyo ngoma n wajaimaca raggae jamaa moja anasuit nyembamba hiv kwa yoyote ambayo anayo anitumie au snipe link niweze kuidownload n ya kitambo ....au mweny link ya song wale majaimaica anitumie
 
,...thnx xo much broo nimeipata kama unazo nyigine dizan kam hii nitumie kaka

...hili ombi gumu maana liko too general. .ila kwa kukusaidia..nenda youtube na usearch kila msanii/reggae songs unazofaham ..utachagua unayotaka baada ya kuisikia..
 
Wakuu kuna nyimbo ya Bob marley jina limenitoka ila baadhi ya naneno anaimba "Every man need a woman and every woman need a man close both together" naomba msaada jinsi ya kuipata hii nyimbo
 
Vipi Wakuu hakuna mtu humu? Mbona ombi langu kuhusu hiyo nyimbo ya Bob marley wote kimya?!
 
CONJUGAR VISTORS.VYBZ KATERL AND SPICE GIRL.

swissme
 
Juve2012 asante sana mkuu,nimeipata hiyo nyimbo ya Bob marley baada ya kuitafuta kitambo sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom