Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

Kwani huyo mgonjwa amesema kapata kwa shoga au mwanaume mwenzie? Au ukimwi ndo unapatikana kwa mashoga tyuuh?
Sio kila jambo baya lazima ushoga uhusishwe khaah, condoms ba vilainishi vipo, sasa watu wanakwama wapi?
Utakuwa SHOGA wewe.
 
Yaani ukimwi alioushtukia wiki mbili umtoe rashes? Ni urongo
Hivi Ni kweli kwamba kukifanyika katerero bila penetration ngoma haiambukiziki ?
Yani mwanamke Ana ngoma alafu Mwanaume hana Ila wamefanya mutual masturbation
 
Rashes na magonjwa nyemelezi vinatakiwa kuja muda ambao kinga ya mwili imeshakua apeche alolo. Na huo muda hauwezi kua wiki mbili.

Ukipata VVU kinga inareact na hicho kitu kigeni kilichoingia mwilini na kuanza kukishambulia, wanasema kama kinga ikiwa strong inaweza kuviua vile virusi me sinauhakika sana na hii) but kama ikishindwa ukapata maambukizi yanaweza kusababisha mabadiliko ya kawaida katika wiki za mwanzoni unapata dalili za kwanza kama za mafua,kichwa kuuma,homa,vipele,tezi kuvimba nk.
 
Asilimia kubwa ya wazungu wenye ukimwi ni mashoga au alikua shoga akaukwaa kaamua kuja kuusambaza huku!Tena hao waitaliano na waspanish ndio balaa kwa kupenda nyuma
 
Kuna jamaa yangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu ila kwa maisha aliyokuwa anaishi anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea hapa kachanganyikiwa week ya pili hii hata nje hatoki. Huyu jamaa ni muitaliano. Mzungu Og kabisa yaani

Kwa jinsi alivyokuwa na list ya wadada hapa mjini na Zanzibar Dah! Huyu jamaa kwa kuwala tu dada zetu hawa amewala vibaya mno na wanampenda kweli kweli wadada, siunajua waswahil wanavyochanganyikiwa na wazungu..sasa nahisi katika harakati hzo ameukwaa..yeye anasema hajui nan kampa ila mi nmemwambia atakua kautoa Zanzibar maana kule alikuwa anawacharaza vibaya mno.

Anatia huruma mwamba, analia tu, halafu bado umri mdogo tu 29 ila dah maisha haya yaani huyu jamaa ndo alikua the real definition ya malaya kuna story zingine anakuhadithia unabaki unashangaa zingine si tumeona kwenye porn mwamba hadi 4sum anapiga.

Kweli nimeamini ngwengwe asilimia kubwa watu wanaipata kwakua na multiple partners. Jamani ngoma ipo huyu mwamba ametokwa ma rush mwil mzima..kawa mwekundu dah, huruma kwakweli. Nyie wadada kuwen makini maana nyie hamuogopag ngoma nyie.

Kidimbwi keshachafua sanaaa yaani dah
mbona ukimwi sio issue tena kwa huko kwao atatunzea vizuri na kila kitu atapewa ama free au kwa bei nafuu
 
Back
Top Bottom