Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

Shida ya wa Italiano wanapenda sana nyuma Hasa kwa wanaume wenzao, Hawajali Shoga wala Rijali ilimradi Ana Tundu tu.
Huko ndo alipolipatia tatizo.
Kwani huyo mgonjwa amesema kapata kwa shoga au mwanaume mwenzie? Au ukimwi ndo unapatikana kwa mashoga tyuuh?

Sio kila jambo baya lazima ushoga uhusishwe khaah, condoms ba vilainishi vipo, sasa watu wanakwama wapi?
 
Arudi akapigwe dawa kwao! Huko si hamnaga ngoma sikuhizi af kama aliamua kuwa malaya mbwa kwanini alipima β€œDali Kimoko”??? Si angetulia tu
 
Ni hataree sana aisee.
 
Yaani ukimwi alioushtukia wiki mbili umtoe rashes? Ni urongo
Umekutana na Demu leo , umemtongoza , umepiga kavu


Wiki mbili au Tatu zijazo unatokea na vipele vinavyowasha, ukatumia dawa mbalimbali lkn waaapi,... Vikaaa kisha vikaondoka vyenyeweee



Kama ulipiga Kavu, mtafute huyo demu chakwanza kabisa, Mpimishe yeye Ngoma.
 
Hivi vipele vinakua mwili mzima?

Dalili ya vipele kwa wiki tatu si inategemea mtu na mtu
 
Hivi vipele vinakua mwili mzima?

Dalili ya vipele kwa wiki tatu si inategemea mtu na mtu
Vipele hiv mara nyingi vinaweza kua kifuani, au usoni, au mikonon, au mapajan, na mara nyingine mabegani.


Sio vipele tu, bali dalili za awali kabisaa kwa ujumla wake hutegemea mtu na mtu, wewe unaweza patwa na Mafua makali, kichwa , maumivu ya koon, vipele .
Mwingine akapata Kichwa, homa, Matatizo ya tumbo yanayoambatana na kuharisha .

Dalili hizi huja nakuondoka zenyewe.... Mtu anaweza kubakia kua na mitoki tu.
 
Ukinunua malaya pale sinza unaweza kumpiga french kiss?

Mimi nikuzamisha na kukojoa tu..kukiss ni mpaka nikuamini 100pc aisee..

Nishafanya ujinga mwingi sana nowdays nakuwa makini.
Yeah. Malaya ni kuchomeka afu mwenyewe anaendelea na kazi.
 
Aisee ukweli ni kuwa ukimwi. Nakumbuka kipindi nipo mwaka wa kwanza chuo kwenye practical session ya physiology ilikuwa inahusu damu. So tulipangwa in pair kila mtu amtoe damu mwenzake. Mimi nilipangwa na manzi mmoja, yeye alianza akanitoa damu vizuri tu na mimi hivyohivyo sasa sijui kilitokea nini nikajichoma na sindano yake.

Mimi nikachukulia easy tu ila yeye alishtuka sana. Akauliza mara mbilimbili Giftedman umejichoma na sindano yangu sio yako na bado sikushtuka tuliendelea na practical mpaka mwisho mimi nikasepa.

Mida ya jioni napigiwa na namba mpya kumbe ni yule manzi nilikuwa sina namba ukaniambia tukutane tusaidiane kuandika ripoti. Nikamwambia tukutane canteen kuna kacanteen flani huwa akinaga watu so watu wengi ambao hatupendi library na class tunakageuza kachimbo.

Basi akaja ile mida ambayo tulikubaliana na kweli alikuja na summary yake. Kweli tulidiscuss sasa baadae akasema giftedman kuna kitu nataka nikwambie ila nakuomba sana sana usimwambie mtu. Nikamwambia wewe niambie tu haina shida.

Sio ndio akaniambia kuwa yeye ni muathirika na hataweza kujisamehe kama akikaa kimya na mimi nikaupata. Kiukweli nilidata hapo sijui PEP ndio nini ila yeye alikuwa anajua. Na alisema niende naye hospitali flani kesho. Basi kesho asubuhi tucancel vipindi nikaenda naye hiyo hospitali tukajielezea nikapimwa nikapewa PEP.

Nilimshukuru sana na kumuahidi nitamtunzia siri na nimefanya hivyo hadi sasa. Ila ukweli vidonge vya PEP sio mchezo aisee ilikuwa ni mara ya kwanza viliniendesha sana
Huyu manzi ni rafiki yangu mkubwa hadi sasa.
 
Kwani huyo mgonjwa amesema kapata kwa shoga au mwanaume mwenzie? Au ukimwi ndo unapatikana kwa mashoga tyuuh?
Sio kila jambo baya lazima ushoga uhusishwe khaah, condoms ba vilainishi vipo, sasa watu wanakwama wapi?
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜…πŸ˜… Mwenzetu anakukwaza, vilainishi vipo ila nyuma si kutamu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…