Jamaa noma..kampiga chini..

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Kampa lifti sister duu, wameenda umbali kama mita 200 ,simu ya sister duu inaita.... anapokea , ''hi switie niko kwenye daladala ngoja nikifika ntakupigia''. Ile amekata tu simu jamaa kapaki GX 100 pembeni akamwambia nikihesabu mpaka tatu uwe umepiga chini..... demu akawa kama anataka kujitetea... Jamaa akamkatiza kwa sauti '' PIGA CHINIIIII......USINIPOTEZEE MDA MAMAAA'' demu aliruka kwenye gari mbio.
Yamemkuta mshikaji hapa ofisini leo asubui.
 
Kumbe kuita gx 100 daladala kosa eeeh.....
Kwani daladala lazima iwe coaster au hiace ?
 
Mwongo huyo kawadanganya!, hayo yalikua mawazo tu ila hakufanya hivyo. Wanaume kwa wanawake tuna huruma ya moyoni, (msiulize eti mbona basi tunawapiga, ni mapenzi!)
 
Kampa lifti sister duu, wameenda umbali kama mita 200 ,simu ya sister duu inaita.... anapokea , ''hi switie niko kwenye daladala ngoja nikifika ntakupigia''. Ile amekata tu simu jamaa kapaki GX 100 pembeni akamwambia nikihesabu mpaka tatu uwe umepiga chini..... demu akawa kama anataka kujitetea... Jamaa akamkatiza kwa sauti '' PIGA CHINIIIII......USINIPOTEZEE MDA MAMAAA'' demu aliruka kwenye gari mbio.
Yamemkuta mshikaji hapa ofisini leo asubui.

Nafikiri huyo dada hakuwa na lengo la kudharau gari ya huyo kaka kwa kuliita daladala, ila lengo lake labda alihisi kuongea mambo ya mahusiano na mwanaume mwingine huku akiwa kapewa lifti na mwanaume mwingine lingekuwa jambo ambalo si jema hivyo akaona labda amkatishe mazungumzo huyo sweetie wake kwa kumwambia yuko kwenye daladala.

Ila all in all, uongo si jambo jema hata kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom