Kuna jamaa angu leo kanistajabisha sana,Ana dada wa kazi nyumbani kwake sasa anasema huyo dada wa kazi baada ya kukaa nae kama mwaka 1 sasa amependeza sana yaani kutanuka kila idara ya mwili wake.Ktendo ambacho kimemfanya jamaa kuanza kumtamani huyo dada wa kazi ila jinsi ya kuanza kumweleza chochote ndo inakua ngumu sababu jamaa ana wife sasa anahofu vip wife akijua si itakuwa so.
Kitu alichoanzisha ni kila baada ya chakula cha usiku wife wake akienda lala yye anajifanya yupo busy sitting na laptop yake kumbe anamsubiri yule house girl aingie bafuni kouga jamaa anaenda pale kwenye mlango wa bafu sehemu ya kutasa anasema kuna kiuwazi kidogo kinachomwezesha kumwona yule bint akioga kila mahali sababu anasema kila baada ya chakula cha jioni lazima huyo binti aende kuoga kila siku.
Sa jamaa anasema ameshakuwa addicted na chabo ya housegirl na anasema anahisi kumwambia kitu ila anaogopa.
Nilijiuliza sana hivi wanaume tuna shida gani sababu jamaa ana wife mzuri sana na msomi mwenye kazi nzuri.
Na jamaa ni msomi na anakazi safi sana .......sasa nikijaribu kutafakari kwa nini anfanya kweli jibu sina. Kwami kua msomi ndio kunakufanya uwe mstarabu? Huyo jamaa yako hajiheshimu yeye wala hamueshimu mkewe, ivi mkewe kapungua nn mpaka atafute Msichana wa kazi? Tena usione anamchungulia mfanyakazi tu hata mpenzi wako Akimuona atamchungulia,Hana muamana Kama paka Huyo....