Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,255
- 93,777
BABA GANI UNALALAMIKA KULEA WATOTO WEWE?Kunya Mara kwa Mara
Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu
Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia ng'aaaaaaa hiiiii tayari unaamka kulisha .
Kufua , kubadili mapampas
Hujakaa sawa vimefinyana
Kuvibadili Nguo nakuviogosha kila Mara
Juzi kakubwa kamemaliza Kunya, sasa ile nakaingiza bafuni kukasafisha.
Kurudi sebulen, nakuta kadogo kamekunyaaa, kametapakaza mavi yaan kama vile kalikua kanaseleleka
nikakapeke bafuni, nmekakosha fresh. Narudi room ,nikavalishe, sasa ile kukabeba ,kakanya yaan ndo kakaninyea kabisa nyaa
Nilikasirika sana, Mimi mwenyewe naumwa , siku tano ,nipo ndani ,sitoki popote pa mbali
Yaan huku unapika ,huku kanalia, kengine kanaporomoa vitu .
Muda wote MTU upo macho tuu.
Jumapili navirudisha...Nimechoka Wakuu.
NAUNGA MKONO HOJAWaheshimuni sana kina mama, ulezi sio kazi ndogo.
MTOTO AKINYEA MKONO HATUUKATI MKUUKama una kinyaa wakate hiyo mikono waliyonyea
BABA GANI UNALALAMIKA KULEA WATOTO WEWE?
AU HUKUWA TAYARI KUWALEA?
Hivi nyie huwa hamkasiriki??.Halafu mkikaa mnasema kwa nini watu huwa wanasema "Nani kama Mama" . Lol
Sina kinyaa MkuuKama una kinyaa wakate hiyo mikono waliyonyea
Aka Kadogo usiku kanalia ,unaweza mpa msosi kilioo, ukajichekesha wee kiliooo tu, unakabeba unazunguka ndani kama fala kenyewe kiliooo tuu ,utakawashia vimidoli ,wapiii kiliooo , basi ni kukabembeleza bembelezaaa, unafumba macho huku unakabembeleza eeehy eehh lalaaa lalaa laaa laaaa Mamaa lalaaa eeehhh mama ohooo lalaa[emoji16] kulea ni shughuli sasa hapo hawajaumwa kuna watoto wakianza kulia unaweza ukajikuta nawewe unalia maana ni balaa tupu
Na nyimbo ushazijua tayari hahahah kazana ndo malezi hayo.Aka Kadogo usiku kanalia ,unaweza mpa msosi kilioo, ukajichekesha wee kiliooo tu, unakabeba unazunguka ndani kama fala kenyewe kiliooo tuu ,utakawashia vimidoli ,wapiii kiliooo , basi ni kukabembeleza bembelezaaa, unafumba macho huku unakabembeleza eeehy eehh lalaaa lalaa laaa laaaa Mamaa lalaaa eeehhh mama ohooo lalaa
Na anavyonitisha sasa, "ukizembea kidogo tuuu wanapungua uzito .."Waheshimuni sana kina mama, ulezi sio kazi ndogo.
Mkuuu wee nicheke tu, kwasababu u mwanamke ,huwez nielewa hapa.Nimejikuta nacheka mno...kha
Uwahi kurudi Banaa,,wee ndo unawajulia.Na nyimbo ushazijua tayari hahahah kazana ndo malezi hayo.
Uwahi kurudi Banaa,,wee ndo unawajulia.