mluga JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 676 Reaction score 215 Nov 19, 2011 #1 Huyu jamaa anastahili sifa za pekee, yaani dunia ya leo unaongeza mke wa pili , yule wa kwanza anafurahia hivi kweli? au alilemewa na kazi ya jamaa ha ha ha ha Habari kwa hisani ya Global Publishers Attachments Moroharusi3.JPG 53.4 KB · Views: 157 Moroharusi8.JPG 54.8 KB · Views: 145
Huyu jamaa anastahili sifa za pekee, yaani dunia ya leo unaongeza mke wa pili , yule wa kwanza anafurahia hivi kweli? au alilemewa na kazi ya jamaa ha ha ha ha Habari kwa hisani ya Global Publishers
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Nov 19, 2011 #2 sijakusoma bado mtu mzima jamaa ni mkali kivipi.....?
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Nov 19, 2011 #3 Jacob Zuma ana wake watano na juu ya hapo ni rais wa nchi !
K kaeso JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 548 Reaction score 97 Nov 20, 2011 #4 Kwani ni nani?