Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,303
- Thread starter
-
- #81
Ndio shida ni iyo tuTatizo mjegeje tu mwamba kakosa utajiri.
Tqjiri bhnaSimfahamu huyo mtu mkuu.
Ila mnajua kukuza mamboπ€£π€£
Huyo jamaa kila mtu anamlalamikia, niliona hadi wameandikia
HakikaIla mnajua kukuza mambo
Uhakika BroTqjiri bhna
Mnataka aache kutumia kabisa jf?Hakika
Tajiri huna baya
Lazima mpangike ili tuishi vzrUmeanza kutupanga mkuu π π π π ila inategemea na mwanamke wa aina gani mana kuna wengine ni wazuri balaaa View attachment 3391438
Hapa natoa nusu ya utajiri wangu na Figo moja kwa mkupuo.Umeanza kutupanga mkuu π π π π ila inategemea na mwanamke wa aina gani mana kuna wengine ni wazuri balaaa View attachment 3391438
Mi nisingeweza bora niendeleee kuuza karanga na vicholi kwa wanafunziLazima mpangike ili tuishi vzr
π€£π€£π€£π€£π€£ sio tubkudindisha unatoa hadi nusu yabutahiri na figo juu kweli huna baya mnene mwaga noti.Hapa natoa nusu ya utajiri wangu na Figo moja kwa mkupuo.
ππ ndio shida iyo jishikilie kidog tu uwe bossMi nisingeweza bora niendeleee kuuza karanga na vicholi kwa wanafunzi
UgwenoHuo mlima upo wapi?
ππ boss anuniwi lakini nime mchambaπ€£π€£π€£π€£π€£ sio tubkudindisha unatoa hadi nusu yabutahiri na figo juu kweli huna baya mnene mwaga noti.
namba ziko wapi?Umeanza kutupanga mkuu π π π π ila inategemea na mwanamke wa aina gani mana kuna wengine ni wazuri balaaa View attachment 3391438
πππ kama husimamishi mlingoti hapo itakuwa bwana ametoa na bwana ametwaa.π€£π€£π€£π€£π€£ sio tubkudindisha unatoa hadi nusu yabutahiri na figo juu kweli huna baya mnene mwaga noti.