Jamaa kajinyomga baada ya kubeti

Hela ya kukopa au kuazima huez kula betting hata cku moja,afu ukute n pesa ndefu huezi kula....pole ake....bet kwa hela ya jasho lako
 
Kwenye sehemu za kubetia huwa kumeandikwa "usibetie fedha ya mtu mwingine na hakikisha una miaka zaidi ya 18"
Hayo maandishi huyo mjukuu wa M7 hakuyaona?
 
Madrid sio watu, kwani hakujua maurizio sarri hapotezi mechi mpaka mwezi wa 11? R.I.P
 
Hela ya kukopa au kuazima huez kula betting hata cku moja,afu ukute n pesa ndefu huezi kula....pole ake....bet kwa hela ya jasho lako
Sijui kwanini hata madrid akicheza na Yanga ukimpa madrid kwa hela ya kuazima au ya mtu mwingine hutakula kamwe
 
Au ndio ile katuni ya Kipanya Masoud:
Bwana yule alikuwa anatembea anafoka,
Mtoto akamuuliza baba yake, vipi huyo kawaje?
Baba akamjibu: ALIBETI KUHUSU MKUU WA MKOA
😀😀
 
ukute alishawahi kupiga hela ya kutosha tu akanogewa
 
ukute alishawahi kupiga hela ya kutosha tu akanogewa
 
Dah.... Atakua alikua amempa Atletico Madrid win..
Anyway, apumzike anapostahili.
Alibet Arsenal inafungwa! Muhindi kamla kichwa Muhindi mwenzie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…