Jamaa anaomba msaada

Kwani si sheria ni hadi saa tano usiku? Subiri kama watazidisha hapo ila kwa sasa haina shida. Please be advised
 
Hiyo mikito kweli inabidi aweke pingamizi.
 
baada ya hapo ni mifugo kupotea na wamiliki kuziba nyufa za nyumba zao
 
Wabongo fujo wanaita starehe, sasa makelele na pombe mpaka asubuhi raha iko wapi hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…