Jamaa ana roho mbaya

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Jamaa mmoja alishukiwa na Malaika toka mbinguni akaambiwa omba chochote unachotaka lakini Jirani yako yeye atapata marambili.
Kwa Mfano ukitaka PRADO Jirani yako atapata PRADO mbili nawe utapata moja.
Jamaa akafikiria kwa mda halafu akamwambia Malaika
"Nitoe jicho moja"
 
hahahahahahahahaha,acha hizo kaka utaua watoto,
vipi kaka upo?
Nalog off
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…