Jamaa alisema ukweli bila chembe ya uongo

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Hii ni kauli ya bill Gates ya kwamba anapenda kufanya kazi na watu wavivu sababu ni watu ambao wanabuni njia rahisi a.k.a kitonga kufanya kazi zao!hapo alitulenga kabisa sisi mabachela!baada ya zoezi la kupika kwetu kuwa gumu tumebuni mboga mbalimbali za kurahisisha mapishi yetu,kama Mayai(mboga maarufu kwa mabachela), dagaa wa kukaanga,kachumbari,maziwa mtindi,etc [emoji2]
 
Naomba nami niijue hiyo mboga inayoitwa mazima mtindi mkuu nikajaribu gheto.
 
Soma vizuri mkuu
[emoji23] [emoji23] poa nimeona ila fanya uoe japo kuna faida na hasara zake kwenye msosi.

Faida:
-kama anajua kupika kinakua kitamu kweli kweli.
-unakula umerelux sio unakimbizana na sufuria ukija kukaa ule umechoka.
-unambembelezwa hadi kula.

Hasara.
- ucheleweshaji: wanawake anaanza kupika saa 4 anamaliza saa 7. Kero ipo hapa.
 
Hahahaa! Kweli mkuu!ila ukijichanganya kupika maharage utajuta! Nimeanza kupika maharage saa 12 asubuhi hadi sasa hivi hayana hata dalili ya kuiva[emoji2]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…