Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

kama hali ndiyo hii, inabidi jamaa aingizwe kwenye guiness book of records kwa uzembe...
 
Na wanaume mlivyo wash..enzi nyie, hapo ukute jamaa yako hajutii kuisaliti ndoa yake.......bali anajuta kwa nini amekamatwa kizembe!!!

Haya mama, wanaume tumekusikia including aliyekuzaa kuwa sisi ni washenzi! Ningefurahi kama ungekuwa umemuona mwanaume anaejutia matendo yake wakati nyumbani mkewe kaondoka. Usichukulie jambo kirahisi namna hiyo, wanaume tupo wa aina mbalimbali.
 
kama hali ndiyo hii, inabidi jamaa aingizwe kwenye guiness book of records kwa uzembe...

Huyu sio mzoefu wa kucheat ndo maana hawezi kujipanga maana wataalamu wenyewe huwa makini hakamatwi hata siku moja.
 
Haya mama, wanaume tumekusikia including aliyekuzaa kuwa sisi ni washenzi! Ningefurahi kama ungekuwa umemuona mwanaume anaejutia matendo yake wakati nyumbani mkewe kaondoka. Usichukulie jambo kirahisi namna hiyo, wanaume tupo wa aina mbalimbali.

Mfano mzuri ni hapo mnapoteteana, eti makosa ya kiufundi........mara ooh sio mzoefu eti wazoefu huwa hawakamatwi! Ni sifa uuuh??
 
Mh! Mwenzangu nadhani kuna kitu zaidi ya hili unaloongea. Hebu tuambie, why do you hate men like that? Nini kimekusibu mama? Huwezi kujua ya wanaume mpaka nawe uwe mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…