hii sio photoshop na jamaa sio taahira... Anaitwa Carlos Rodriguez.
Ni ajali tu ilitokea, madakitari ikabidi waondoe sehemu ya bupuru la kichwa chake.
Yaliyojiri yakajiri.
afadhali yeye techno ilimwezesha angalau kupata wasaa wa kuvuta hako kasigara.
Ingekuwa pale Upanga kwa akina Ulimboka sijui kama wasingemzika hai huyu...