Jama msaada unyaji wa maji kwangu wageuka balaa!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Twashauliwa kunywa maji kwa kiasi kingi ila kwangu naona ni tatizo kwani kila ninywapo maji hata glass moja ni baada ya nusu saa au dk kadhaa natakiwa kwenda toilet na mara nyingine naenda toilet zaid ya mara mbili swala ambalo ni usumbufu mkubwa kwangu kwa wataalam hivi hili swala kwanini na je kuna tatizo gani? na solution ni nini?
 
Kusema ukweli wakati unaanza kunywa maji inasumbua sana unakwenda chooni mara kwa mara, lakini ukishazoea mfono baada ya wiki nzima unazoea kabisa so usiache kunywa maji kwa kuogopa kwenda chooni.Nakushauri uvumilie kwa muda wa wiki kila kitu kitakua sawa
 
Twashauliwa kunywa maji kwa kiasi kingi ila kwangu naona ni tatizo kwani kila ninywapo maji hata glass moja ni baada ya nusu saa au dk kadhaa natakiwa kwenda toilet na mara nyingine naenda toilet zaid ya mara mbili swala ambalo ni usumbufu mkubwa kwangu kwa wataalam hivi hili swala kwanini na je kuna tatizo gani? na solution ni nini?
Fuatisha link hii na uone kama unakunywa maji kama ilivyoandikwa humo: jitibu kwa kutumia maji | maajabu ya maji usisite kuuliza tena
 
Back
Top Bottom