iPhone 5S Senior Member Joined Jun 6, 2014 Posts 158 Reaction score 102 Aug 25, 2014 #1 kutoka na na msafara wa jk njia ya kuelekea mbeya au songea imefungwa kwa takriban saa 1 sasa ! Foleni Ni kubwa sana lakini hakuna dalili za kuokoa hii kadhia kwa wasafiri Hawa walio choka hapa njiani. Sent from my iPhone using JamiiForums
kutoka na na msafara wa jk njia ya kuelekea mbeya au songea imefungwa kwa takriban saa 1 sasa ! Foleni Ni kubwa sana lakini hakuna dalili za kuokoa hii kadhia kwa wasafiri Hawa walio choka hapa njiani. Sent from my iPhone using JamiiForums
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 25, 2014 #2 Ndo serikali tulioichagua hii
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Aug 25, 2014 #3 Poleni sana
daviey69 JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 2,234 Reaction score 873 Aug 25, 2014 #4 dah....................
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,694 Aug 25, 2014 #5 Kwa nini asiendelee kutumia treni kiazi huyu....!!!
TUMBOO JF-Expert Member Joined Jun 27, 2014 Posts 3,877 Reaction score 2,069 Aug 25, 2014 #6 Duh inaboa sana
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 25, 2014 #7 Angemuazima gwajma lile liholkopta haya yasingetokea,poleni sana ndugu zangu
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Aug 25, 2014 #8 Hiyo ni ya kwaida na hasa pale vigogo wanapotembelia sehemu yoyote ya kugagua maendeleo ya inchi