Pezzonovante
JF-Expert Member
- May 1, 2008
- 638
- 41
Mbona hatuoni udokta aliupata lini na wapi?
Mbona hatuoni udokta aliupata lini na wapi?
Hapo kwenye rangi za magamba, usishangae, kwani hata Manyanyau si anajiita Doctor.
Hapo kwenye rangi za magamba, usishangae, kwani hata Manyanyau si anajiita Doctor.
Mpuzi tu hyo jk elim yakurushiwa ka dog!Apige shule bana, masters,phd,professor znatafutwa c mchezo!Halaf we ulie post weka systematic CV zake,kasomea nin?au kadiversify?nhaa
Unadhani uongozi wa shule ndo wa nchi?Hii CV ni nzuri na ina flow inayoeleweka ila tusisahau kuwa uongozi aliuanzia sekondari za Kibaha na Tanga schools. Waliosoma nae andhibitisha kuwa alikuwa na kipaji cha uongozi na walibashiri kuwa atakuwa kiongozi wa nchi.