Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

Jaji Warioba anaongea sasa kwenye kipindi cha dk 45. Wahi umsikie!

wakuu kuna mtu alitupia uzi humu kuwa atakuwepo Mwigulu Nchemba kwenye kipindi cha dakika45 ITV soo nikadharau nikuagalia nikajua ni pumba zake tu! kumbe alikuwepo mtu mzima! sijui kulikuwa na maana gani ya kupotosha
 
mhhh mzee JJW akiongea unatamani dakika zisiende kwa kweli.ana maneno yenye ukweli na matamu sana japo kuwa upande mwengine yanakuwa ni kama( mwiba) sijui tufanyeje mpka uyu mzee awe PRESIDENT wa ........:D:D:thumbup:
 
Mbona at a hawakutangaza kuwa mzee atakuwapo ITV mambo gani haya twakosa mambo ya maana yenye ujazo Wa hekima na busara za kutosha

Wanaogopa kunyofolewa KUCHA zao......................
 
Ukawa wangekua na Akili timam wangemteua warioba kugombea urais Mwaka huu ila kwa kua ni mbumbuuuu na warafi Wa madaraka wataipoteza hiii opportunity ya kuingia ikulu
 
Mzee wetu Warioba anawasemea watz walio wengi na ambao wameibwaga ccm kwenye chaguzi serikali za mitaa.
Viva Jaji Warioba. Mungu akulinde na uzee wako uendelee kuwa dawa.
 
Mzee wetu Warioba anawasemea watz walio wengi na ambao wameibwaga ccm kwenye chaguzi serikali za mitaa.
Viva Jaji Warioba. Mungu akulinde na uzee wako uendelee kuwa dawa.

Ndio mkuu upo sawa kabisaaaa, nami nasema Amen
 
Hii TV ya mengi ni matatizo sana,inatumika kuvuruga nchi

Wewe unakesha hapa JF, ni mara ngapi umeona wadau wakijadili programs au taarifa zilizorushwa kupitia TBC? amka, nenda shule ukatoe ujinga then uje huku duniani kulitumikia taifa.
 
Wewe unakesha hapa JF, ni mara ngapi umeona wadau wakijadili programs au taarifa zilizorushwa kupitia TBC? amka, nenda shule ukatoe ujinga then uje huku duniani kulitumikia taifa.

Dah!!! Umenena mkuu
 
Kiukweli nimefuatilia hicho kipindi Hakika yule mzee ni dhahabu ndani ya tz aliongea vitu vya msingi mpaka nikajikuta napiga makofi. Lkn wamesema wiki ijayo watakua nae tena naomba wadau msikose
 
Back
Top Bottom