Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

Fofader

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
864
Reaction score
301
Jaji Warioba anaongea sasa kwenye kipindi cha dk 45. Wahi umsikie!

 
ahsante kwa kunijuza nilikuwa naangalia movie tu mkuu
 
Wamuulize anajisikiaje makonda kuwa mkuu wa wilaya tena ndani ya hiyo wilaya ndo alimpiga kofi!
 
Usikose kuwasha itv katika kipindi cha dakika 45. Rafiki na kipenzi cha vijana wapenda MABADILIKO atakua Itv

YOU MUST Watch. ...
 
Mzee Waryoba yupo juu sana hasa katika suala la separation of powers. Ni kweli kabisa wakati wa mjadala wa Escrow suala la separation of powers lilionekana wazi wazi na mzee analidadavua vyema kabisa.
 
Jameni tupeni sisi tuliombali kasema nini?

Swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…