Jaji Warioba kufukuzwa kwenye nyumba anayoishi mwishoni mwa wiki hii

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Wakuu habari za Leo,

Inatia huruma, sijui tumsaidie vipi huyu mzee wetu wakuu, hebu tujadiliane namna ya kumsaidia

Chanzo: RAIA mwema
 
Mh na asubuh yote hii hata hatujatoka na bado hatujaliona gazeti hilo mkuu, toa brief hapo kidogo tupate pa kuanzia. Kwani ile nyumba alikua kapanga? Au serikali haiwajibiki tena kumhudumia mstaafu warioba? Au amejenga ufukweni? Au nyumba yake ipo kwene hifadhi ya barabara, kuna tatizo gani mkuu?
 
Kwani CCM Wenyewe Wameshindwa!! Sisi TUMSAIDIE Aliyekuwa Waziri Mkuu, Jaji, Mpiga Bebe Wa Magufuli Na Mbunge!! Ili Asifukuzwe Au Apewe House, Wkt Huku KWETU Tukibomolewa Na Kuachwa Nje Na Wengine Wakiwekewa Alama Za X Ktk Vibanda Vyao!!! Ndorooobai!!!! NDEGE Wajuanao, Ndio Warukao Pamoja!!!!!
 
DSC00468.jpg
 
wewe warioba huna cha kumsaidia coz yeye ni waziri mkuu na makamu wa raisi wa zamani so anajua nini cha kufanya cha msingi hujatuambia kwann aondolewe kwenye nyumba lkn hayo kwake ni madogo tu labda angekuwa mwl au polisi ningehic hana hata kibanda lkn huyo level nyingine na pia kumbuka ni mwanasheri na kipe anajua zaid namna ya kuliweka saw
 
Acha ushobo kijana kinachofata ni sheria siyo nyazifa

Halafu we dogo wa kitunda angalia wewee,mi bishoo wakati mi ni kauzu zaidi ya dagaa,halafu nakushangaa,huyu mzee ni ndugu yako wa Mara halafu unamletea zengwe, unapenda aadhirike wakati utumishi wake kwa taifa hili ulikuwa ni wa KUTUKUKA,tunzeni wazee nyie mtalaaniwa
 
Back
Top Bottom