Jaji Warioba: Bunge lisitishwe

Jaji Warioba: Bunge lisitishwe

Jina la Warioba litaandikwa kwa wino wa dhahabu lakini hawa wajumbe wa ccm tutawahukumu kwenye kura pia wale wataotangulia mbele za haki makuburi yao tutayachapa fimbo za kutosha hawana busara wanajali maslahi yao binafsi pamoja na chama chao ccm UJUMBE WANGU WA LEO BORA MUNGU AKUNYIME UWEZO WA KUPATA PESA AKUPE MOYO WA BUSARA NA HEKIMA
 
Sita anaandika katiba ya nchi kama ya kikundi cha kikabila. Bila maridhiano katiba itaanza kupingwa mara baada ya kuzinduliwa. Besides, do we know who is coming to power in 1915? Sita anajiridhisha ni yeye ndio maana anajitahidi kuchakachua katiba mpya. Sasa ni wazi katiba mpya haitatumika mwakani. Is a blow to Mr. Six na watu wengi ndani ya bunge la katiba wanashabikia kwa sababu ni wabunge na wanajaribu kulinda interests zao. Mwaka kesho zaidi ya nusu yao hawatakuwa bungeni na ndipo watakapoona mkuki mtamu kwa nguruwe (wao watakuwa nguruwe mwakani) na kwa binadamu (binadamu watakuwa watu wengine) mchungu. Wa kwanza kupata maumivu ni mzee Wasira maana mwaka kesho hana chake yule binti atampiga chini. Maana 50% kwa 50% inatakiwa ianze na katiba ambayo imeshindwa kabla haijaanza kutumika.
 
Back
Top Bottom