We umeamua kumtisha Godbless Lema bila sababu.Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Jaji wa Mahakama ya Rufani,hakuwahi kuiangusha Serikali kwenye maamuzi yake. Tangu akiwa Mahakama Kuu,Jaji Juma aliilinda kwa nguvu zake zote Serikali ya Chama cha Mapinduzi. Analipa fadhila kwa rafikiye Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Kiuweledi, Jaji Prof.Juma ni msomi washeria aliyebobea. Ana uwezo mkubwa sana. Lakini,maisha yanampokonya matumizi sahihi ya weledi wake. Ndivyo mambo yanavyotakiwa kuwa?!Akiwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria,Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jaji Prof.Juma aliwahi 'kumsave' Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ambaye 'alidisco'. Alimsimamia kidete hadi akabaki nakumaliza masomo yake mwaka 2005 na kutunukiwa Shahada ya Kwanza ya Sheria.
Jaji Prof. Juma alianza kulipwa alichokifanya kwa Ridhiwani mwaka 2007 pale alipoteuliwa kweye Tume ya Kuchunguza Mauaji ya wafanyabiashara watatu maeneo ya Sinza. Tume hiyo iliyoundwa na Rais iliongozwana Jaji Kipenka Musa. Baadaye, Jaji Prof. Juma aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu mwaka 2008. Akiwa hapo,Shauri la uchaguzi kati ya Makongoro Mahanga na Fred Mpendazoe likaletwa mbele yake. Kila mtu anafahamu kilichotokea. Kwa kukumbuka tu,Mahanga aliibuka mshindi na CCM 'ikapeta'.
Mwishoni mwa mwaka jana,Jaji Prof.Juma alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Hapo ndipo lilipomkuta Shauri lililotolewa uamuzi jana:Shauri la Aeshi Hilary dhidi ya Norbert Yamsebo. Mlitegemea matokeo tofauti? Ingawa shauri la Yamsebo lilisikilizwa na jopo la Majaji watatu: Jaji Edward Rutakangwa, Jaji Stephen Bwana na Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, bado Jaji Juma alikuwa na nafasi yake kubwa katika shauri hilo.
Tasnia ya sheria inafanana na ya jeshi. 'Mdogo' hutumwa na kutumikia zaidi. 'Seniority' ndio kila kitu. Kwa 'ukubwa' katika jopo hilo, Jaji Rutakangwa anaanza,halafu Jaji Bwana na tena Jaji Prof. Juma. Hivyo basi, kazi kubwa ilifanywa na Jaji Prof. Juma. Mwenye kuamini na aamini. Majaji wawili waliobaki wao 'wali-vet' kilichoandaliwa na Jaji Prof. Juma.
Sina mashaka na uwezo wa Jaji Prof. Juma. Nina mashaka na mahusiano yake na mkuu wa Serikali na chama. Kwa mahusiano hayo, CHADEMA waweza kufurukuta mbele ya Jaji huyu? Sidhani. CHADEMA watakuwa wanapiga mwereka mbele yake kila shauri. Labda aamue kutumia weledi wake ipasavyo.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dares Salaam(sasa Dodoma)
Huyo jamaa keshaminywa na Prof., mzee wa kunyoosha rula.sio kweli, majaji wanapo kaa full benchi kwenye uamuzi kama mmoja hajaridhia anaunwezo wa kukataa bila wenzake kumlazimisha( decending judge) kesi nyingi za Lord Denning alikuwa asipo ridhia na maamuzi ya wenzake anakataa. hakuna seniority pale. wacha kupotosha umma. unless kama interest zako zimeguswa na hukumu zake.
Hapo ndo kituko kilichopo, afu hawajui kuwa kesi haiamuliwi mitaani.Kwani jaji mzuri ni yule anayeiangusha serikali?
Ama kweli wengine vichwa vyenu mnatumia kufugia nywele!
Mkuu..umeharib kipande cha mwisho tuu..sio kweli, majaji wanapo kaa full benchi kwenye uamuzi kama mmoja hajaridhia anaunwezo wa kukataa bila wenzake kumlazimisha( decending judge) kesi nyingi za Lord Denning alikuwa asipo ridhia na maamuzi ya wenzake anakataa. hakuna seniority pale. wacha kupotosha umma. unless kama interest zako zimeguswa na hukumu zake.
Mkuu Pasco! Naomba unifafanulie tofauti kati ya "technical disco na kudisco kwa ukilaza"? Pili tukubaliane kuwa "controversial rulings" za jaji ye yote zinaleta mashaka juu ya weledi wake. Tatu "any judge like Caesar's wife, should be beyond suspicion"Kwa sisi tuliopitia mikono ya Dr. Juma tunaufahamu uadilifu wake fika!. Kwa waliopita UD wanajua kuna technical disco na ku disco kwa ukilaza!.
Hata mimi pia nilisoma UD na nilidisco wakati Dr. Juma akiwa dean!. Kiukweli wale watakaomshutumu kwa lolote, wanajichumia dhambi bure!. Ni sawa na Prof. Shivji au Fimbo awe Jaji halafu atoe rulling ya haki in favour of serikali useme analipa fadhila!.
Kwa sababu tumepoliticise kila kitu, uamuzi wowote in favour of Chadema then huo ndio uamuzi wa haki!. Uamuzi wowote in favour of CCM ni upendeleo!.
Pasco.
Mara nyingi hua ninazikubali sana report za bwana Tupa tupa, mzee wa Lumumba, mara baada ya kusoma hii comment yako nimeridhika pasipo shaka kwamba huyu jaji anatumika (kama ni kweli ndiye aliyehukum kesi ya Mpendazoe na Makongoro). Kama sikosei, kwenye ile hotuba ya Kikwete ya baraza la Idd mwaka juzi pale Dodoma nilisikia hili jina la huyu jaji kupitia kinywa cha Kikwete, I am starting to join the dots here! Anyway, hata hivyo CDM mwendo mdundo, 2015 sio mbali!
Mkuu asante kwa swali hili, kwa sababu mimi mwenyewe ni muhanga wa kula DISCO nilipokuwa UDSM na Prof. Ibrahim Juma akiwa Dean, alinitendea haki na nikaendelea.Mkuu Pasco! Naomba unifafanulie tofauti kati ya "technical disco na kudisco kwa ukilaza"? Pili tukubaliane kuwa "controversial rulings" za jaji ye yote zinaleta mashaka juu ya weledi wake. Tatu "any judge like Caesar's wife, should be beyond suspicion"
Mkuu Nguruvi3, naelewa concern yako kwenye system ambayo ni rotten, then its normal watu kudhani kila mteuliwa pia ni a rotten stock, lakini kiukweli hata katika tenga la samaki, sio lazima mmoja akioza, wote waoze, samaki mmoja wa jana, aliyewekwa tenga moja na samaki wa leo, then ikatokea huyo mmoja wa jana akaoza, ukalitupa tenga lote kwa kuamini wote wameoza, utakuwa hajawatendea haki samaki wale wa leo kwa sababu watakuwa hawajaoza!.Tatizo tutatibu dalili za maradhi badala ya maradhi yenyewe.
Kutoaminiana hadi kufikia vyombo vya sheria kutiliwa shaka ni hatua ya kusikitisha.
Hata hivyo kuna sehemu mbili za kujadili
1. Vyombo vya sheria:
Kumekuwepo na mtazamo usiopendeza juu yake
Hili linachangiwa kwa sehemu na vyombo vya sheria ''kupoteza'' nguvu kama mhimili
Matukio yanayoendelea hasa ya siasa yanatia shaka hata pasipohitaji shaka
Kwa maneno mengine, trust na vyombo vya kutoa sheria ipo tofauti na matarajio
2. Hatuwezi kupata suluhu ya jambo hili hadi tutakapobadili mfumo
Jaji mkuu anapaswa kupitia katika 'vetting' nyingine
Nchi za wenzetu mtu akiwa Jaji, kwanza hawezi kuondolewa, pili anawajibika maeneo mengine si kwa eneo moja
Kwa mtazamo huo hakuna mhimili 'uliozama' zaidi chini, na yote inakuwa huru
Tuangalie hili la Jaji wa sasa. Wadhifa wake anakaimu Ujaji mkuu hadi uteuzi kamili
Hii si nafasi ya kukaimu, si kuwa inamkwaza mhusika, inajenga mashaka bila ulazima.
Jaji kwa kukaimu anakuwa na conflict of interest.
Kulinda masilahi ya taasisi lakini kama binadamu naye ana matarajio binafsi
Likitokea jambo maamuzi ya Jaji yataweza kuunganishwa na 'ukaimu'
Kwavile mfumo wetu ni mbovu, unatoa fursa tu ya mteuzi kuamua lini afanye hivyo
Hivi Jaji Othman aliamka tu na kutoa taarifa au kulikuwa na taarifa siku nyingi?
Kwanini nafasi ya Ujaji mtu akaimu?
Kwa umuhimu wake katika nchi na utawala hili linatokeaje?
Soma angalau tarehe ya uzi huu Mkuu. Mengine hujaelewa chochotetupatupa mzee wa kupindisha pindisha na kunogesha maneno yake ili kunogesha riwaya zake.......na kwakufanya hivyo amefanikiwa kuwakamata mamia ya nyumbu hapa jf!.
Leo huna location,uko Lumumba,dodoma au chato?Karibu ndugu yangu
Mzee Tupatupa
...because the writer of the above post was a beneficiary of "haki bin haki"..............
Hivyo Prof Juma ni mtu wa haki bin haki!.
Paskali
...ulipoleta huu uzi zaidi ya miaka mitatu iliyopita uligaragazwa kwa hoja hadi ukautelekeza;The movie continues
Mzee Tupatupa
Uzuri wa JF ni bonge la back upJaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Jaji wa Mahakama ya Rufani,hakuwahi kuiangusha Serikali kwenye maamuzi yake. Tangu akiwa Mahakama Kuu,Jaji Juma aliilinda kwa nguvu zake zote Serikali ya Chama cha Mapinduzi. Analipa fadhila kwa rafikiye Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Kiuweledi, Jaji Prof.Juma ni msomi washeria aliyebobea. Ana uwezo mkubwa sana. Lakini,maisha yanampokonya matumizi sahihi ya weledi wake. Ndivyo mambo yanavyotakiwa kuwa?!Akiwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria,Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jaji Prof.Juma aliwahi 'kumsave' Wakili Msomi Ridhiwani Kikwete ambaye 'alidisco'. Alimsimamia kidete hadi akabaki nakumaliza masomo yake mwaka 2005 na kutunukiwa Shahada ya Kwanza ya Sheria.
Jaji Prof. Juma alianza kulipwa alichokifanya kwa Ridhiwani mwaka 2007 pale alipoteuliwa kweye Tume ya Kuchunguza Mauaji ya wafanyabiashara watatu maeneo ya Sinza. Tume hiyo iliyoundwa na Rais iliongozwana Jaji Kipenka Musa. Baadaye, Jaji Prof. Juma aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu mwaka 2008. Akiwa hapo,Shauri la uchaguzi kati ya Makongoro Mahanga na Fred Mpendazoe likaletwa mbele yake. Kila mtu anafahamu kilichotokea. Kwa kukumbuka tu,Mahanga aliibuka mshindi na CCM 'ikapeta'.
Mwishoni mwa mwaka jana,Jaji Prof.Juma alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Hapo ndipo lilipomkuta Shauri lililotolewa uamuzi jana:Shauri la Aeshi Hilary dhidi ya Norbert Yamsebo. Mlitegemea matokeo tofauti? Ingawa shauri la Yamsebo lilisikilizwa na jopo la Majaji watatu: Jaji Edward Rutakangwa, Jaji Stephen Bwana na Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, bado Jaji Juma alikuwa na nafasi yake kubwa katika shauri hilo.
Tasnia ya sheria inafanana na ya jeshi. 'Mdogo' hutumwa na kutumikia zaidi. 'Seniority' ndio kila kitu. Kwa 'ukubwa' katika jopo hilo, Jaji Rutakangwa anaanza,halafu Jaji Bwana na tena Jaji Prof. Juma. Hivyo basi, kazi kubwa ilifanywa na Jaji Prof. Juma. Mwenye kuamini na aamini. Majaji wawili waliobaki wao 'wali-vet' kilichoandaliwa na Jaji Prof. Juma.
Sina mashaka na uwezo wa Jaji Prof. Juma. Nina mashaka na mahusiano yake na mkuu wa Serikali na chama. Kwa mahusiano hayo, CHADEMA waweza kufurukuta mbele ya Jaji huyu? Sidhani. CHADEMA watakuwa wanapiga mwereka mbele yake kila shauri. Labda aamue kutumia weledi wake ipasavyo.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dares Salaam(sasa Dodoma)
Mzandiki na mzushi Mkubwa. Sijui lini tu bavicha mtaacha hiyo tabiaThe movie continues
Mzee Tupatupa
sio kweli, majaji wanapo kaa full benchi kwenye uamuzi kama mmoja hajaridhia anaunwezo wa kukataa bila wenzake kumlazimisha( decending judge) kesi nyingi za Lord Denning alikuwa asipo ridhia na maamuzi ya wenzake anakataa. hakuna seniority pale. wacha kupotosha umma. unless kama interest zako zimeguswa na hukumu zake
Mungu aliye hai akulinde sana we Mzee.Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Jaji wa Mahakama ya Rufani,hakuwahi kuiangusha Serikali kwenye maamuzi yake. Tangu akiwa Mahakama Kuu,Jaji Juma aliilinda kwa nguvu zake zote Serikali ya Chama cha Mapinduzi. Analipa fadhila kwa rafikiye Rais Jakaya Mrisho Kikwete.